UMEIPATA HII: KIJANA ALIYEGEUKA ALBINO BAADA YA KUATHIRIKA NA MATUMIZI YA MADAWA AINA YA METAKELFIN.
















KIJANA ALIYEGEUKA ALBINO BAADA YA KUATHIRIKA NA MATUMIZI YA MADAWA AINA YA METAKELFIN. Bw.Hafidh Masokola Damson ambaye alibadilika na kuwa Albino kutokana na matumizi ya dawa za Malaria baada ya kuzitumia mnamo mwaka 2010,Kwa maelezo yake mara baada ya kunywa dawa aina ya Metakelfin alianza kubabuka ngozi ya mwili wake huku magamba yakitoka mithiri ya nyoka katika mwili wake. Hafidh Masokola kabla ya kubadilika kuwa mlemavu wa ngozi Albino. Kwa uthibitisho wa habari hii waweza kumpigia kwa simu ya kiganjani 0767 298 348 au 0658 298 348.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks