HII NDO IDADI KAMILI ILIYOTAJWA NA WIZARA YA UCHUKUZI KUHUSU WANAWAKE MARUBANI NA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA.

Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya kutolewa na Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe bungeni Dodoma May 24 2014.,,,>>>>>

Waziri Mwakyembe amesema pamoja na ugumu wa kazi ya udereva Tanzania kuna madereva Wanawake watatu wa mabasi makubwa na Wanawake wawili wa malori ya mizigo kwenda Lubumbashi Congo.
Vilevile kuna Wahandisi Wanawake 15 wa mitambo kuongozea ndege, kuna Wanawake 8 madereva wa Treni, marubani 8 Wanawake, waongoza ndege 16 Wanawake.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks