MAYWEATHER AZICHAPA NA T.I


MAYWEATHER AZICHAPA NA T.I

Bondia Floyd Mayweather ameripotiwa kuzipiga na msanii wa miondoko ya rap T.I katika mgahawa mmoja mjini Las Vegas, Marekani.
Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, T.I aliamua 'kulianzisha' na Floyd Mayweather ambaye kazi yake na fani yake ni 'kurusha mikono'.....>>>>

Tovuti hiyo ambayo huandika habari za udaku za 'macelebrity', imesema mtafaruku huo ulitokea nje ya mgahawa wa Fatburger, ambapo T.I alimfuata bondia huyo hodari duniani na kuanza kumrushia masumbwi kabla ya walinzi wao kuingilia kati na kuwatenganisha.
Polisi wa Las Vegas wamethibitisha kutokea kwa kasheshe hiyo, ingawa hakuna sababu hasa iliyotolewa ya kuzuka kwa ugomvi huo.

Picha kwa hisani ya Eurosport.com
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks