Cheki video ya kituko kipya cha Mike Sonko alivyomuweka rais Uhuru Kenyetta loudspeaker

sonko
Mike Sonko ni mwanasiasa maarufu nchini Kenya kwa kuwa na muonekano wa kiujana zaidi au unaweza kusema ni kisharobaro ziadi. Sonko anapenda kupendeza kwa kuvaa kofia,vito vya thamani,T shirts za kisasa,jeans na wakati mwingine kupaka rangi nywere zake....>>>>

Nyakati tofauti seneta huyu amehusishwa kwenye vituko mbalimbali, hivi sasa kituko chake kilicho-make headline ni pale alipomuweka Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta loudspeaker mbele za watu.
Kwenye moja ya mahojiano na kituo cha television Mike Sonko alisema kwamba alifanya hivyo ili waandishi wa habari wasikie kauli ya kiongozi wa nchi. Tukio lililokua linatokea hapo ni kanisa moja lilikuwa linabomolewa na Sonko hakukubaliana na hilo swala, akaamua kutafuta usaidizi kwenye ngazi za juu.
Video yenyewe ndio hii na mwisho wa siku Sonko alifanikiwa kusimamisha hiyo bomoa bomoa.


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks