Picha: Diamond Akiwarusha mashabiki wake New Jersey, Marekani

 Diamond akiwa All Star Club Elizabeth, New Jersey Diamond, licha ya show kuchelewa kuanza, mashabiki wake walishikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindikana kutokana na muda wa kufunga club kufika...>>>>



 Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale. Picha na MichuziBlog.

 Shabiki akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani.

 Diamond, mwanamuziki wa kizazi kipya anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani.

Diamond na wacheza show wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki ya New Jersey, Marekani.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks