Zimebaki siku 10 kuanza kombe la Dunia, Je unajua nini kuhusiana na teknologia ya goli.

Photo: ZIMESALIA SIKU 10 KABLA YA KUANZA KOMBE LA DUNIA...
Siku kumi kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza, tutaanza kuhesabu siku zilizosalia kwa kutazama mawili matatu kuhusu michuano hiyo.
Je unafahamu kuwa BRAZIL 2014:
Hii itakuwa mara ya kwanza teknolojia ya golini kutumika katika Kombe la Dunia. Kutakuwa na kamera 14 katika kila paa ya kila uwanja utakaotumika. Kamera 7 zitakuwa zinatazama goli moja, na 7 nyingine goli jingine. Kamera hizo zimeunganishwa kwenye kompyuta ambayo itatathmini kila mpira utakapopigwa. Mpira unapovuka tu mstari wa goli refa atahisi mtikisiko katika saa maalum atakayokuwa amevaa mkononi. Pia atapata ujumbe mfupi wa maandishi kupitia saa hiyo unaosema "Goli".
ZIMESALIA SIKU 10 KABLA YA KUANZA KOMBE LA DUNIA...
Siku kumi kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza, tutaanza kuhesabu siku zilizosalia kwa kutazama mawili matatu kuhusu michuano hiyo.
Je unafahamu kuwa BRAZIL 2014:..>>>

Hii itakuwa mara ya kwanza teknolojia ya golini kutumika katika Kombe la Dunia. Kutakuwa na kamera 14 katika kila paa ya kila uwanja utakaotumika. Kamera 7 zitakuwa zinatazama goli moja, na 7 nyingine goli jingine. Kamera hizo zimeunganishwa kwenye kompyuta ambayo itatathmini kila mpira utakapopigwa. Mpira unapovuka tu mstari wa goli refa atahisi mtikisiko katika saa maalum atakayokuwa amevaa mkononi. Pia atapata ujumbe mfupi wa maandishi kupitia saa hiyo unaosema "Goli".
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks