Takwimu za mtandao wa goal.com. zinaonyesha
staa huyo kuwa NUMBER 1 kwenye orodha ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa
kuingiza pesa nyingi zaidi duniani na kuwa na utajiri mkubwa.
Takwimu za mtandao huo zinaonyesha Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 210 akimuacha nyuma mpinzani wake anayeshikilia nafasi ya pili Lionel Messi mwenye utajiri wa paundi 200.
Utajiri wa Ronaldo haupatikani kwa soka lake uwanjani pekeyake, ana madili mengine mengi ikiwemo kuwa balozi wa kampuni mbalimbali kama Toyota, Nike na Herbalifeambazo zimeweka pesa kwa staa huyu ili awe Balozi wao rasmi kutangaza bidhaa zao.
Hii ndio list yote.
1. Cristiano Ronaldo
Mchezaji wa Real Madrid: Huyu ndiye mchezaji bora wa dunia na ameendelea kushikilia rekodi yake ya nafasi ya kwanza, ana utajiri wa Euro milioni 210
2. Lionel Messi
3. Neymar Da Silva Santos Jr
4. Zlatan Ibrahimovic
5. Wayne Rooney
6. Ricardo Kaka
7. Samuel Eto’o
8. Raul Gonzalez
9. Ronaldinho (Gaucho)
10. Frank Lampard
Ni kiungo wa Manchester City: Ana utajiri wa Euro milioni 80
0 comments:
Post a Comment