![]() |
Kikosi cha Juventus msimu wa 1976/77
|
1977: Juventus watwaa taji la Europa
UNAWEZA kushangaa Fainali ya Kombe la UEFA ambalo sasa linajulikana Ligi ya Europa ilikuwa ikichezwa nyumbani na ugenini ambapo Mei 4, 1977 Juventus ilimtandika Athletic Bilbao bao 1-0 pale Stadio Communale Vittorio Pozzo, Turin katika marudiano San Mames, Juve ilinyukwa mabao 2-1 ikifaidika na bao la ugenini na kutwaa taji hilo. Kinachokumbukwa katika msimu huo wa 1976/77 ni kikosi cha Biaconneri ambacho pekee kilikuwa hakina nyota kutoka mataifa ya nje.
0 comments:
Post a Comment