HII NDO AJARI ILIYOTOKEA MANYONI IKIHUSISHA BUS LA BUNDA BUS NA TREIN





bunda2

Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha  Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28  limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.


bunda3

Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana ingawa inawezekana  ni sababu ya Bus hilo kuingia njia ya treni,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi ni 38 na waliopoteza maisha ni 1.

bunda4

bunda5


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks