Video mpya kutoka kwa Michael Jackson – A Place With No Name

mj
Michael Jackson angetimiza miaka 55 mwezi huu lakini bado mashabiki wa muziki wake wanaendelea ku-enjoy kazi zake kama hivi. Kuelekea kutoa album ya Xscape ya Michael Jackson, hivi sasa imetoka video mpya ya A Place With No Name...>>>>>
Video hiyo zaidi ya kuwa na wahusika wengine, pia imehusisha baadhi ya video za Michael Jackson kutoka kwenye behind the scene wakati aki-shoot short film ya In the Closet.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks