Kuhusu Ujio Mpya Wa Martin Lawrence na Will Smith Ndani Ya BAD BOYS 3

bad
Martin Lawrence na Will Smith ndio mastaa wa movie hizi mbili ambazo zina action na comedy ndani yake. Kama wewe ni mpenzi wa hizi movie basi taarifa ikufikie kwamba Bad Boys 3 ipo kwenye maandalizi...>>>>>

Akiwa kwenye interview ya TV show actor Martin Lawrence aliulizwa kuhusu plan za movie ya Bad Boys 3 ambayo imekuwa kwenye tetesi kwa muda mrefu na Martin alijibu,”Nimeongea na director jana tu na ameniambia wanafanyia kazi script hivi sasa na wanakaribia kuimaliza. Hivi karibuni mtapata taarifa rasmi ”
Martin hakuthibitisha uhusika wa star mwenzake Will Smith kwenye hiyo movie kwasababu ni bado mapema sana.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks