NELLYCHAZZY
  • Home
  • RADIOS
    • hcr
    • clouds fm
    • EA Radio
    • Bongo Fm
    • Rfi Swahili
    • Rfa
  • VIDEOS
    • youtube
    • vimeo
    • Dailymotion
  • MOVIES
    • action
    • comedy
    • drama
    • horr0r
  • MUSIC
    • Mp3.com
    • Mp3skull
    • Mp3juice
  • NC
  • FANS
    • Facebook
    • Twitter
    • instagram
    • Linkedin
  • LIRICS
  • ONLINE GAMES
News
Loading...

@NELLY.CHAZZY instagram

Find Us On Facebook

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

CLICK HERE

CLOUDS


NELLYCHAZZY.BLOGSPOT.COM TZ

Tigo music

Tigo music
  • Home
  • Movies
  • Photos
Designed by NELLYCHAZZY Tysam. Powered by Blogger.
Home / HABARI / HAYA KWELI MAAJABU YA DUNIA.FAHAMU HAPA MAAJABU YA NYANGUMI.

HAYA KWELI MAAJABU YA DUNIA.FAHAMU HAPA MAAJABU YA NYANGUMI.

nellychazzy 4/26/2014 12:24:00 pm HABARI Edit











1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo.

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?

3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho?..>>>>

4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300? Mmoja JIKE alikamatwa na kupimwa alikuwa na kilo 171000kg

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa?

6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho?

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg?

9. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80.


10.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege aina ya Boeing 737

12. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size ya familia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita33.

13. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 848.

Ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndege kubwa aina ya jet inapopaa ambayo kipimo cha sauti ya jet ni decibles 120.



Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer

RELATED POSTS

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )
Blogger Tricks

Facebook

twitter

Tweets by @Nellychazz

Football results provided by whatsthescore.com

Popular Posts

  • IDAKE NA HII: ORODHA YA MARAIS TAJIRI DUNIANI, COUNT DOWN 1-5
    1. Vladimir Putin, President of Russia – $40 billion  Vladimir Putin has been the Russian President since 2012, though he also served in ...
  • Hii ni moja ya ndoto alizokuwa nazo Millard ayo, na imetimia sasa
    MILLARD  AYO   Picha Za Studio Ya Redio Binafsi Ya Millard Ayo Furaha Ya Wengi! Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mshin...
  • Hii ni top 10 ya nyumba za kifahari zaidi zinazomilikiwa na mastaa wa soka
    Wachezaji mpira wa miguu ni watu ambao wamekuwa wakimiliki fedha nyingi kutokana na kulipwa mishahara mikubwa kwa wiki, ni kitu cha kawaida...
  • Video mpya kutoka kwa Michael Jackson – A Place With No Name
    Michael Jackson angetimiza miaka 55 mwezi huu lakini bado mashabiki wa muziki wake wanaendelea ku-enjoy kazi zake kama hivi. Kuelekea kut...
  • REACH US
    contact us              email :nellychazzy@live.com                                                             nellychazzy@ gmai ...
  • Huu ndo uwanja wa mpira uliojengwa majini
    Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi  Marina Bay ni moja kati ya sehem...
  • List ya mastaa 10 wa soka matajiri zaidi Duniani
    Cristiano Ronaldo  ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kwamba mbali ya kuwa bora kwenye soka, bado ana rekodi nyingine kubwa ambazo zinaf...
  • HAYA KWELI MAAJABU YA DUNIA.FAHAMU HAPA MAAJABU YA NYANGUMI.
    1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo. 2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400...
  • Papa Francis amewatawaza Wapalestina wawili
    Papa Francis amewatawaza watawa 2 wapalestina Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewatawaza watawa wawili wa Kipalestina wa...
  • LOWASSA AIKANA NOTI YA SH 500 YENYE PICHA YAKE BADALA YA RAIS.
    Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu ...

CHANNEL 10+MAGIC FM

CHANNEL 10+MAGIC FM

@NELLY.CHAZZY instagram

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdmzULaSt10U8AhJI2h5gBkbCWW8pd5onZXzOhj1mMNiwWQFxsatfwEscli2ubliElVPPhi7v2I11cHKEIaQCI2eh3aT3wMExcGKxVAZHQlEezcpS7-Lj78E_F4fycJ6hYbsdgo4gmKCc/s1600/adversie.gif

TOKOMEZA MAUWAJI YA ALBINO

MIMI NITAKULINDA

Labels

  • BURUDANI
  • HABARI
  • HISTORIA
  • MICHEZO
  • SIASA
  • Slider
  • TECHNOLOGY
  • WORLD RECORDS

Contributors

  • Unknown
  • nellychazzy
Copyright © 2014 NELLYCHAZZY / Blog Designed By NELLYCHAZZY->NELLYCHAZZY@LIVE.COM :
  • Home
  • About
  • Contact
  • NELLYCHAZZY