Orodha Ya Forbes Ya Waigizaji Kumi Wanaolipwa Zaidi Hollywood Ndio Hii

downey-jrJarida la Forbes limetoa orodha ya waigizaji wa kiume wanaolipwa zaidi Hollywood. Hawa ndio wanalipwa pesa nyingi zaid kwenye filamu wanazoigiza. Star wa filamu za Iron Man ndiye ameongoza kwa kuchukua dola milioni 75 kwenye filamu zake....>>>

forbes-menRobert Downey Jr $75 Million
Dwayne Johnson Maarufu Kama The Rock Analipwa $52 Million
Bradley Cooper analipwa $46 Million
Leonardo DiCaprio $39 Million
Chris Hemsworth $37 Million
Liam Neeson $36 Million
Ben Affleck $35 Million
Christian Bale $35 Million
Will Smith $32 Million
Mark Wahlberg $32 Million
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks