Hii ndo Gari la Freeman Mbowe lililokamatwa na Polisi Kenya

Screen Shot 2014-05-01 at 1.50.04 PMNi magazeti kadhaa ya leo Tanzania ambayo yameripoti kuhusu kukamatwa kwa gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe huko Mombasa Kenya.
Jambo leo wameripoti kwamba gari la Mbowe lililokamatwa ni lile la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ambapo limekamatwa kwenye msako wa magaidi na uhalifu nchini humo na Polisi wanamsubiri Mbowe na Wenje kwa mahojiano....>>>

Screen Shot 2014-05-01 at 1.58.14 PMGazeti la habari leo limeandika kwamba gari la Mbowe lashikiliwa Mombasa, namba mbili za STK na KUB zatisha Polisi Kenya na dereva ahojiwa akihisiwa kuhusika na ugaidi.
Uhuru wameandika shangingi la Mbowe lakamatwa Kenya, alikwenda huko na Ezekia Wenje, dereva wake ahojiwa.

POWERED BY MILLARD AYO
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks