Hata Lupita mwenyewe hakuweza kuamini macho yake, aliona kama amependelewa aliposikia kuwa yeye ndio mwanamke mzuri kuliko wote hawa kwa mwaka huu..>>>>
Hii ni kutokana na takwimu na zoezi lilofanywa na moja ya jarida maarufu linaloheshimika huko marekani na dunia nzima, ni kama bahati vile mwaka hu kushinda kila tuzo, ila kwa hii list ya wapinzani wake, huwezi amini kama Lupita angefurukuta hadi kutajwa kuwa namba moja kwa uzuri kati ya warembo hawa wote.
2. Kerri Russell
3. Jenna Dewan-Tatum
4. Mindy Kaling
5. Pink
6. Amber Heard
7. Gabrielle Union
8. Molly Sims
9. Stacy Keibler
10. Kerry Washington
Vibe Magazine.
2. Kerri Russell
3. Jenna Dewan-Tatum
4. Mindy Kaling
5. Pink
6. Amber Heard
7. Gabrielle Union
8. Molly Sims
9. Stacy Keibler
10. Kerry Washington
Vibe Magazine.
0 comments:
Post a Comment