UNAJUA GIGGS KAZUNGUMZIA NINI LEO KATIKA MKUTANO WAKE WA KWANZA.


Ryan Giggs amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari kama meneja wa muda wa timu ya soka ya Manchester United kufuatia kufutwa kazi kwa David Moyes mapema wiki hii .
Ameelezea siku chache zilizopita zimekuwa kama fujo tupu kwa klabu hiyo na akaahidi kujaribu kurejesha tabasamu kwenye nyuso za mashabiki..>>>>

Hii ni kufuatia kufutwa kazi kwa meneja wa klabu hiyo David Moyes kutokana na matokeo mabaya ya klabu hiyo katika ligi ya Premier.
Alianza kwa kumshukuru Meneja wa zamani Moyes kwa kumpatia fursa ya kwanza kufanya kazi kama kocha.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks