wakali wa R&B Chris Brown na Trey Songz ambao kwa sasa ni washikaji mwaka huu wameamua kufanya biashara ya pamoja.
Wasanii hao wametangaza kupitia Instagram kwa kupost videos wakiwaeleza mashabiki kuwa ..>>
wameamua kufanya tour ya pamoja Wasanii hao wamewataka mashabiki wawasaidie kupata jina la tour hiyo ambayo bado haijapata ratiba rasmi.Wasanii hao wametangaza kupitia Instagram kwa kupost videos wakiwaeleza mashabiki kuwa ..>>
“THIS FALL is gonna be legendary! Get ready for me and @TreySongz Tour!!!!!!” Ametweet Chris Brown.
Mara ya mwisho wakali hao waliimba pamoja katika jukwaa la tuzo za BET, June mwaka huu wakiwa na August Alsina
Mara ya mwisho wakali hao waliimba pamoja katika jukwaa la tuzo za BET, June mwaka huu wakiwa na August Alsina
0 comments:
Post a Comment