Rapper Dogo D awachana Nay wa Mitego, Young Killer, Mo Music, Kala Pina, Weusi, Dogo Janja na wengineo


IMG-20140902-WA0034
Rapper mdogo kuliko wote Tanzania “Dogo D” mwenye umeri chini ya miaka 15 kutoka Mwanza ameachia wimbo unaowadiss wasanii kibao wakubwa wasanii wa mwanza Mo Music na Yong Killer lakini pia hakuwaacha wasanii wengine kama Nay wa Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo..>>>

Ngoma hiyo aliyoipa jina la “Wamenichokoza” akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema
“mwanzoni ulipokwenda pamoja tulikwenda kuhit basi nenda, kufanya ngoma yangu ndio unanipiga kalenda
wamitego acha poz kama dem, kama kidume kweli kwanini hupokei simu.
hakuishia hapo aliendelea na kumdiss Young Killer na Dogo Janja kwa kusema
“Hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba, msodoki acha uongo kusema umejenge nyumba”….Dogo janjaro chunga utapauka utadhani goti la mbuzi wakati kwa madee unakula na kunywa nkujamba tu ushuzi”
alipofikia kumdiss msanii Kimbunga Dogo D alisema
“kimbunga mchawi jipange kuroga kwangu, wachawi wenzako wamekuwa wake zangu…..”, Kala pina kabuma hajui afanye nini, waambie waeusi navaa miwani na bado naona gere
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks