Bugatti moja ya magari yenye gharama kubwa sana duniani ambayo mara nyingi humulikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu. Kampuni inayotengeneza magari hayo imetoa matoleo matatu ya lengend edition na hii ya sasa hivi ni ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.>>>>
Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila mmoja litauzwa kwa $3.14 million. Hizi ni picha za gari hilo
0 comments:
Post a Comment