TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZIFUATAZO..| watu wanne wafariki papo kwa papo kwa mripuko wa lori {singida}



ajari hiyo imetokea majira ya ya jioni maeneo ya sekenke singida, baada ya lori hilo la mafuta kupoteza mwelekeo na kwanguka chini ya mlima na kulipuka, chanzo cha ajari hiyo mbaya ni breki kuferi wakati lori hilo lilipokuwa likishuka mlima.....



Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks