Wakati Diamond Platnumz akikamata nafasi ya kwanza kwenye Top 10 ya kituo cha runinga cha kimataifa cha Trace TV na wimbo wake My Number One remix ft Davido.. Kule London, Uingereza, Ommy Dimpoz ameshoot video ya wimbo wake mpya na muongozaji wa video nyingi za wasanii wakubwa ikiwemo Antenna ya Fuse ODG, Skelewu ya Davido na Caro ya Wizkid..
Hii ni hatua kubwa kwa muziki wa Tanzania. Tunawapongeza wasanii hawa kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.
0 comments:
Post a Comment