
Shakira na Gerard Pique wametangaza rasmi kuwa wanategemea mtoto wa pili kwenye familia yao. Msanii huyu kutoka Colombia ametangaza August 28 kupitia twitter kuwa wanategemea mtoto wa pili na wanashukuru mashabiki kwa maombi yao...>>>>
Shakira na Gerard wanamtoto moja anaitwa Milan alizaliwa January 2013.
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment