Madhara ya busu kwa watoto wadogo

Busu ya namna hii haikubaliki kwa watoto
Busu ya namna hii haikubaliki kwa watoto
Imekuwa ni kawaida kwa wazazi au watu wazima kuwabusu watoto sehemu za midomo.Watoto ufurahi sana wakati wakibusiwa maana hawajui nini kinaendelea.watoto wadogo utabasamu na kucheka wakati wakibusiwa na mama au baba.
Busu inayokubalika kwa watoto ni hii hapa wazazi jaribu kutumia busu la namna hii ili kuwaepuusha watoto wenu na magonjwa ya kuambukizwa
Busu linalokubalika kwa watoto ni hili hapa wazazi jaribu kutumia busu la namna hii ili kuwaepusha watoto wenu na magonjwa ya kuambukizwa
Wazazi wengi uwabusu watoto wao kama ishara ya upendo huku wengi wakiwabusu watoto wao juu ya mdomo kidogo.
Hata hivyo watu wengine hakubaliani na hicho kitendo maana wanasema ni usumbufu kwa watoto.
Baadhi ya watu huwa hawapendi watoto wao wabusiwe na watu wengine kama siyo bibi,babu,ndugu au mwanafamilia.
Inasemekana kuwa busu za namna hizo si nzuri kwa watoto maana zinaweza kumsababishia mtoto magonjwa kama magonjwa ya kifua kikuu au magonjwa yoyote ya kuenezwa.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks