Mtoto wa miezi kumi akutwa na uzito wa kilo 19


Mtoto Aliya mwenye uzito wa kilo 19 wakati ana umri wa miezi 10
Mtoto Aliya mwenye uzito wa kilo 19 wakati ana umri wa miezi 10
Mtoto wa miezi kumi akutwa na uzito unaokaribia kilo 19 najua huwezi kuamini lakini amekuwa ni mmoja wa watoto wenye uzito mkubwa duniani ukilinganisha na umri wake.
Mtoto Aliya akiwa amekaa
Mtoto Aliya akiwa amekaa
Aliya anaishi katika kijiji cha Jharkhand nchini India, mtoto huyo alianza kuongezeka uzito baada ya kuzaliwa na hakuna mtu hata mmoja aliyetambua ni kwanini mtoto huyo anaongezeka uzito.
Mtoto Aliya akiwa ameshikilia biscuit
Mtoto Aliya akiwa ameshikilia biscuit
Na kwasasa ana uzito ambao ni kama wa mtoto wa miaka sita na anakula mara tatu kila siku .
Aliya akiwa na ndugu zake
Aliya akiwa na ndugu zake
Maisha ya mtoto huyu yako hatarini kutokana na unene huo, wazazi wake wamekuwa wakijitahidi kutafuta pesa za kumpeleka kwenye matibabu lakini wamekosa.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks