HII NI KWAMUJIBU WA SHERIA.. NI MARUFUKU KUVAA NGUO FUPI LAND +256 {UGANDA}

Taarifa ifahamike kwamba imepigwa marufuku kwa jinsia ya kike kuvaa nguo fupi (ki-mini) nchini Uganda na tayari Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni amesaini rasmi sheria hii....>>>>

Japokua baadhi ya Wabunge walipinga kwamba  hii inaingilia uhuru wa mtu kuvaa, wabunge wengi wameunga mkono uamuzi huu.
Unaambiwa marufuku hii ambayo imelenga kuepusha vitendo vya ubakaji na ngono zembe kutokana na ushawishi unaotokana na uvaaji huu, inahusisha pia nguo nyingine fupi ambazo zinaacha sehemu kubwa ya mwili wazi kama vile kifuani. 
Na vilevile ikumbukwe kuwa matukio ya wanawake kuchaniwa nguo fupi mitaani, imekuwa pia ikitokea kenya mara kwa mara japokuwa marufuku hiyo haipo nchini kenya. 


Wanawake/Wasichana wataruhusiwa kuvaa mavazi mafupi kwenye matukio maalum tu yanayohusisha uvaaji huu kama vile michezo ambapo Waziri husika

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks