HUU USAFIRI AMBAO LEO UMECHUKUA NAFASI JIJINI MWANZA BAADA YA DALADALA KUGOMA..............................>>>
BORA KUFIKA
MKUU WA (W) NYAMAGANA BARAKA KONISAGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, MDA MFUPI BAADA YA KUKUTANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI, MADEREVA, NA WADAU WOTE WA USAFIRISHAKI JUU YA MGOMO WA DALADALA JIJINI MWANZA.
ZAIDI KIKAO KIMETOA WITO KWA MADEREVA KUSITISHA MGOMO MARA MOJA, AMBAPO AMESEMA KUWA AMEWAAGIZA WAHUSIKA WA JAMBO HILI KUFUATILIA SUALA HILI MARA MOJA IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA NINI MALALAMIKO YA MADEREVA ILI YASHUGHULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYO
0 comments:
Post a Comment