Umeidaka hii ya Rais Uhuri kenyatta kutembea bila msafara katika ya jiji la nairob




1908471_10153820172605533_441985176_n



Hii imetokea kwenye mji mkuu ambao ni Nairobi pale Rais Uhuru Kenyatta alipotumia gari moja tu bila msafara akitokea Ikulu kwenda kwenye hoteli moja kwa ajili ya kukutana  na Wanafamilia.
Unaambiwa toka amechukua madaraka, Rais Uhuru amekua na tabia hii mara kwa mara tofauti na Rais Kibaki ambae kila sehemu aliyotia mguu ni lazima aambatane na msafara hata kama ni maeneo ya karibu na Ikulu.
Askari mmoja wa usalama barabarani alipigwa butwaa pale alipojikuta kasimamisha gari ambalo ndani yupo Rais Uhuru bila msafara ambapo President mwenyewe alimwambia >>> “Ni mimi ofisa, fungua”. akimaanisha ni yeye amfungulie njia aendelee na safari.
Askari wa Usalama barabarani nchini Kenya wanasifia uongozi wa Rais Uhuru kwamba hata kukiwa na msafara huwa hawawekwi barabarani kwa muda mrefu kuusubiria upite manake wakati wa Mwai Kibaki ilikua inawalazimu wakae barabarani kwa saa kadhaa kabla ya msafara kupita.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks