yule muwaji wa zaidi ya watu 9 wilayani Tarime azikwa na halmashauri ya wilaya ya tarime...!!!!!
muwaji aliyekuwa akifanya mauwaji wilayani tarime takribani ya watu 9, halimashauri ya wilaya ya tarime imeamua kumzika hii ni baada ya ndugu na jamaa zake kutokuonekana kuuchukua mwili wa marehemu, toka alipofariki dunia.
0 comments:
Post a Comment