mkono wa kushoto ni kijana anayetuhumiwa kuiba nondo na mkono wa kulia ni mhandisi wa Jengo la ofisi za africa mashariki katita mpaka wa Kenya na Tanzania mji mdogo wa Sirari
Hapa ni wakati mhandisi akimchukua maelezo kwa kina, huku kijana nae akitililika zaidi...........>>>>>>>>>
Hili ndilo Jengo husika la ofisi za Africa mashariki Sirari.
Baada ya kijana kukamatwa na mhandisi la jengo
Baadhi ya wakazi wa Sirari wakishuhudia tukio hilo
hizi ndo nondo zilizoibiwa, kama zinavyoonekana pichani
0 comments:
Post a Comment