HABARI YA HIVI PUNDE: Kuhusu bomu lililolipuka usiku huu Arusha


kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.
Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks