Hii ndio listi ya vilabu tajiri duniani – Real, Barca, Man U nani katisha, na unajua Arsenal na Bayern Munich nani yuko juu.

ronaldo-rooney_2480712bReal Madrid imeendelea kuwa klabu tajiri duniani.
Jarida la Forbes la marekani limeitaja klabu ya Real Madrid kuwa na thamani ya  €3.3 billion, huku klabu ya Manchester United ikishika nafasi ya pili ikiwa na thamani ya €3.16 billion.
Kumi 10 bora ya vilabu tajiri duniani imetawaliwa na vilabu kutoka Premier League, huku vilabu tajiri vya Ufaransa  PSG  na AS Monaco vikiwa havitajwa kwenye listi hiyo.....>>>>

FORBES’ TOP 10 RICHEST CLUBS:
1) Real Madrid: €3.3 billion
2) Manchester United: €3.16 billion
3) FC Barcelona: €2.6 billion
4) Arsenal: €1.32 billion
5) FC Bayern Munich: €1.3 billion
6) AC Milan: €940 million
7) Chelsea FC: €900 million
8) Juventus: €690 million
9) Manchester City: €680 million
10) Liverpool FC: €650 million
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks