NAY WA MITEGO KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI ITAKAYOGARIMU SH MILIONI 30.

Video ya Nay wa Mitego atakayofanya Afrika Kusini kugharimu takribani milioni 30, atafanya na director aliyefanya za P

Rapper wa Manzese, Nay wa Mitego amesema amepanga kwenda Afrika Kusini kufanya video kwa lengo la kuendelea kujisogeza kimataifa kwa kufanya kazi na waongozaji wenye channel kubwa.


Amesema kuwa director atakayefanya nae kazi ni yule aliyefanya videoz za wasanii wakubwa wa Afrika kama P-Square, Davido na J Martins...>>
“Nafanya na director ambaye mara nyingi sana huwa anafanya kazi zake South Africa, Nigeria na Ghana. Ni director mkubwa tu ambaye anafahamika naweza kusema Afrika nzima ama nusu ya dunia kwa ujumla. Ameshawahi kufanya video za P’Square, alishafanya video za akina Davido na J Martins ndiye ambaye naenda kufanya nae.” Amesema Nay wa Mitego.
Mkali huyo wa Nakula Ujana amesema ni mapema sana kutaja gharama za video hiyo lakini inaweza kufika milioni 30.
“Nafikiri ni gharama kiasi gani japokuwa ni zaidi ya milioni 20 na au 30 naweza kusema hivyo.”
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks