TAARIFA KUHUSU ALBUM MPYA YA MICHAEL JACKSON.

Ikiwa Imepita kama Mwezi mmoja toka taarifa kuwa kuna album ya Mpya ya Michael Jackson inaandaliwa itakayoitwa Xscape, Kwa sasa imetolewa taarifa rasmi kwamba album hiyo ipo tayari na itaachiwa Mei 13, 2014...>>>


Album hiyo imetengenezwa na Producer na Mwanamuziki Mkubwa Timberland akishirikiana na Rodney Jerkins.
Habari inasema Album hiyo itakuwa na Nyimbo Nane...Love never felt so Good, Chicago, Loving you , A place with no Name, Slave to the Rythm, Do you know where your Children are , Blue Gangstar na Xscape.....

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks