Watu huru kutumia Twitter Uturuki

 Maafisa wa utawala nchini Uturuki wameondoa marufuku ya Twitter baada ya mahakama kutoa uamuzi huo.
Maafisa wamesema kuwa watu wanaweza kuendelea kutumia mtandao huo wa kijamii..
Mahakama iliwaambia kuwa lazima waondoe marufuku hiyo ya wiki mbili kwani inakiuka uhuru wa watu kujieleza...>>

Itachukua saa kadhaa kwa watu kote nchini humo kuweza kutumia Twitter kikamilifu.
Waziri mkuuu Tayyip Erdogan aliahidi kumaliza Twitter baada ya watumiaji wake kusambaza madai ya ufisadi dhidi yake.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks