Cheki Video ya Young Killer akiwashukuru Mashabiki kwa tuzo aliyopata kwenye #KTMA2014


Jumamosi Mei 03 kulikuwa na utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards ambapo kwa msanii kutoka 88.1 Mwanza Young Killer alishinda tuzo bora ya msanii bora anayechipukia/anayeibukia kwa mwaka 2013/2014,leo katoa video ya kuwashukuru mashabiki wake waliompigia kura...>>>>>

kilaaa


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks