Habari njema kwa Luis Suarez na Mashabiki wa Liverpool


Wiki mbili baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England kupitia chama cha wanasoka wanaocheza EPL mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez ambae ni miongoni mwa mastaa wa soka waliowahi kumiliki headlines kwa kipindi kirefu, amechaguliwa tena kuwa mwanasoka bora wa England na chama cha waandishi wa habari za michezo Uingereza.....>>>>>

Suarez mwenye umri wa miaka 27 aliwashinda kwa kura nyingi wachezaji wengine akiwemo nahodha wa Liverpool na England Steven Gerrard.
article-2620532-1D69BE9B00000578-539_306x423Magoli 30 aliyofunga msimu huu kwenye EPL yameiweka Liverpool kwenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Premier League baada ya miaka 24.
Hii ndio listi ya washindi wa tuzo hiyo tangu mwaka 1990 mpaka leo
1989–90     John Barnes          
1990–91     Gordon Strachan
1991–92     Gary Lineker
1992–93     Chris Waddle
1993–94     Alan Shearer
1994–95     Jurgen Klinsmann
1995–96     Eric Cantona
1996–97     Gianfranco Zola
1997–98     Dennis Bergkamp
1998–99     David Ginola
1999–00     Roy Keane
2000–01     Teddy Sheringham
2001–02     Robert Pires
2002–03     Thierry Henry
2003–04     Thierry Henry
2004–05     Frank Lampard
2005–06     Thierry Henry
2006–07     Cristiano Ronaldo
2007–08     Cristiano Ronaldo
2008–09     Steven Gerrard
2009–10     Wayne Rooney
2010–11     Scott Parker
2011–12     Robin van Persie
2012–13     Gareth Bale
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks