JE UNATAKA KUWA JUU KIMZIKI KAMA DIAMOND? ZINGATIA MAMBO 10 YAFUATAYO


1. Kujituma kwa hali na mali kimziki na kutokata tamaa hata kidogo
2. Kutotumia vilevi kama vile pombe, bangi, unga n.k
3. Kuwa na meneja wa uhakika
4. Fahamu njia za kupita kimuziki, ifahamu miiko ya muziki wa bongo (muda mwingine njia zisizo sahihi ndio njia za mafanikio)....>>>>>


5. Hakikisha unaishi Dar
6. Jitengenezee utaratibu wa kutopotea katika vyombo vya habari hata kama ni vya udaku
7. Puuzia na usipanik pale watu wasiokutakia mema na wasiokupenda wanapokuzushia mambo ya kukuudhi (Mfano Dogo Skide alimdis Diamond kwa nyimbo yake lakini Diamond akapotezea)
8. Date na Star,  itakusaidia kuandikwa/kuongelewa mara kwa mara katika media hususani magazeti (japo ya udaku)---Angalia ishu ya Diamond na Wema/Kidoti/Penny n.k
9. Fikiria kwenda hatua ya mbele na sio kubweteka ulipofikia (Diamond wa "Mbagala" sio wa "My No1")
10. Muda mwingine kubali hata kupoteza chote ulichonacho ili kupata kizuri zaidi (taking risk)
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks