Lupita Akiwa Na Rais Obama Na Mke Wake Michelle Obama Ndani Ya White House.

                      


 Amefuatilia na vyombo vingi vya habari duniani toka alivyofanya filamu ya 12 Years A Slave na kupata tuzo ya Oscar. 

Lupita ameandikwa na magazeti na majarida makubwa kuhusu mambo tofauti kama filamu, familia na mitindo ya mavazi...>>>>>



Hivi karibuni alipata mwaliko wa kwenda White kuonana na Obama pamoja na watu tofauti kwenye  chakula cha usiku.


l 2Lupita-na-Obama-1Lupita-na-Obama-2
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks