Mchezaji maarufu duniani na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez amefungiwa mechi 9 za kimataifa na FIFA Baada ya kupatikana na hatia juu ya kosa la ..>>
kumng’ta mchezaji wa timu ya taifa ya Italy Giorgio Chiellini kwenye mechi ya kombe la dunia iliyochezwa siku chache nyuma nchini Brazil. Adhabu nyingine aliyopewa Luis ni kutojihusisha kabisa na shughuli za kandanda sehemu yoyote kwa muda wa miezi 4 na kulipa faini ya £66,000..
Fahamu kuwa adhabu hii imemtoa Suarez kwenye michezo ya kombe la dunia ila haija wabana Liverpool kumuuza mchezaji huyu kama watataka kufanya hivyo.
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment