Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 na video moja akiwa huko Los Angeles na kwenye hii video yupo eneo ambalo zinafanyika interview za wasanii mbalimbali...>>>>
Unaweza kumuona Buster Rhymes akiwa kwenye interview na mtangazaji mmoja na pia zamu ya Diamond ilifika kufanya mahojiano na waandishi mbalimbali.










0 comments:
Post a Comment