Diamond Na Victoria Kimani Watajwa Mapema Kuingia Coke Studio Afrika II


Diamond na Kimani
Baada kupiga collabo na Mafikizolo, Diamond Platinumz amethibitishwa kuingia katika msimu wa pili wa Coke Studio Afrika, huku mrembo wa Kenya Victoria Kimani akitajwa pia kati ya wasanii waliothibitishwa mapema...>>>

Wasanii hao wawili ambao walikutana kwenye wimbo wa Prokoto, wataungana na wasanii wengine 20 wa Afrika ambao bado hawajafahamika.
Coke Studio Afrika ni kipindi cha television kinachoandaliwa na kampuni ya Coca-Cola na kuwapa nafasi wasanii wa Afrika kuimba Live nyimbo zao huku wakishirikiana katika kufanya nyimbo kadhaa.
Coke Studio Afrika inarushwa hapa Tanzania, Kenya, Uganda na Nigeria.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks