Hii ya wabunge Urusi wanaopendekeza marufuku ya uvaaji viatu virefu.

heels
Mbunge wa bunge la Urusi Oleg Mikheyev, ametoa pendekezo linalowachukiza watu wengi, zaidi ikiwa ni wanawake la kuitaka serikali kupiga marufuku uvaaji wa viatu virefu kwa wanawake...>>>

Katika pendekezo la Mikheyev lililotumwa kwa mwenyekiti wa bodi, ametaka kuwepo marufuku ya uvaaji viatu virefu na kuweka sheria kali ya jinsi viatu virefu vinavyotakiwa kuwa.
Mikheyev ameandika kuwa viatu havitakiwi kuwa virefu sana kwa wanawake kwa kuwa na urefu wa nchi mbili mpaka nne kufikia urefu wa nchi sita si kitu bora sana, hatua iliyoungwa mkono na baadhi ya wabunge.

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks