Kuhusu Davido Kufanya Collabo Na Meek Mill

DavidoooDavido anazidi kufanya vizuri na kufuata nyayo za Wizkid ambaye hivi karibuni alirekodi ngoma mpya na Chris Brown na kusifiwa na Rihanna...>>>

Davido ambaye alishambuliwa siku kadhaa na baadhi ya haters baada ya kupost picha akiwa na Meek Mill na Jennifer Hudson kuwa amemuiga Wizkid, ameamua kuwaonesha kuwa haikuwa picha tu bali kazi imefanyika.
Davido ameeandika twitter kuwa amefanya kazi na rapper Meek Mill wa MMG na baadae akapost picha nyingine wakiwa pamoja.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks