
Hii ni rekodi aliyoiweka na kuwa miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Cheki mtiririko wa malipo ya makocha hawa ulivyo.

0 comments:
Post a Comment