Robot ya kwanza yenye “Moyo” na uwezo wa kusoma hisia za mwanadamu.

Pepper-Personal-Robot-image-1-672x372
 Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu...>>>>



 pepper-robot
 Robot hiyo iliyopewa jina la Pepper inadaiwa kuwa ina uwezo wa kufikiri kama mwanadamu na kufanya kile mtu atakachomwambia na uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali kama binadamu.
 pepperrobot3
 Pepper mwenye urefu wa futi nne ni Robot ya kwanza yenye moyo ambapo ina uwezo kutambua sauti, ishara, maneno kupitia programu ya akili bandia iliyofungwa au ‘emotional engine’.
 peperrr
 Kampuni hiyo imesema kuwa watu wanaweza kuwasiliana na Robot hiyo kama wanavyowasiliana na marafiki na familia na linaweza kufanya shughuli nyingi.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks