Mastaa wa Tanzania walivyowasili uwanja wa Jamuhuri Dodoma leo

Screen Shot 2014-06-14 at 12.48.34 PMMastaa vijana wa Tanzania kutoka kwenye muziki, movie na sehemu nyingine wakiwemo mastaa wa soka wameungana pamoja na kutumia ushawishi wao kuonyesha kwamba wakiamua inawezekana...>>>>

Tayari walishaifanya video ya wimbo walioufanya wa miaka 50 ya Tanzania… leo ndio wanaionyesha kwa mara ya kwanza ambapo Rais Kikwete, Waziri Mkuu Pinda, Rais wa Znz Dr. Shein, Spika Anne Makinda ni miongoni mwa wakuu wa serikali watakao ungana nao kwenye uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma kuanzia saa nane mchana.
Screen Shot 2014-06-14 at 12.47.44 PM
Miongoni mwa mastaa waliowasili Dodoma tayari ni pamoja na Mwana FA, Diamond, Wema Sepetu, Kajala, Nikki wa II, Roma, Izzo B, Mwasiti, Quick Rocka, Young Killer na wengine wengi.
Screen Shot 2014-06-14 at 12.49.12 PM
Tanzania naiaminia! kuwa mzalendo na endelea kuusambaza upendo mtu wangu wa nguvu.. tukutane uwanja wa Jamuhuri kuanzia saa nane mchana.
Screen Shot 2014-06-14 at 12.48.55 PM
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks