
Feza Kessy, Muwakilishi wa Tanzania BBA 2013
Mchakato wa kuwapa washiriki wa shindano la Big Brother Africa 2014 umetangazwa kuanza rasmi mwaka huu...>>>
MultiChoice Africa ambao ndio waandaaji wa shindano hilo wameetangaza tarehe ya usaili katika nchi mbalimbali, Tanzania usaili utafanyika Jijini Dar es Salaam (New Africa Hotel) tarehe July 11 na July 12, 2014.
Mwaka huu, nchi ya Rwanda imepata nafasi ya kupeleka mshiriki kushindania kitita cha $300,000.
Nchi zitakazoshiriki mwaka huu ni Zimbwabwe, Zambia, Tanzania, Uganda, Afrika Kusini, Sierra Leone, Rwanda, Nigeria, Namibia, Malawi, Kenya, Ghana, Ethiopia na Botswana.
0 comments:
Post a Comment