Fahamu Kiwango Cha Pesa Anayolipwa Davido Kwa Show!

DavidoKwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000 kwa show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa show ya ndani....>>>

Huko Nigeria watu wanaowekeza kwenye muziki wameanza kuyaona matunda yao hivi sasa ambapo kaka yake Davido ambaye pia ni mmiliki wa label HKN record akiwa na Davido ameweka wazi kuwa Davido huingiza $50,000 (zaidi ya Milioni 84) kwa show moja anayofanya.....>>
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.
Put my First 50k dolls into my business now my artist makes 50k a show! God is good!!!!! CC: @iam_Davido
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks