Picha: Eve Afunga Ndoa Na Millionaire Wa Uingereza


eve tano
Rapper ambaye pia ni muigizaji Eve Jihan Jeffers amefunga ndoa na millionaire wa Uingereza anaefahamika kwa jina la Maximillion Cooper.....>>>>

Wawili hao waliodumu kwenye uhusiano kwa muda wa miaka minne walifunga ndoa June 13 mwaka huu, Ibiza, Hispania.
Eve mwenye umri wa miaka 35 amefunga ndoa kwa mara ya kwanza katika maisha yake lakini mmewe aliwahi kuwa na ndoa na ana watoto wanne aliowapata na mkewe wa zamani.
Maximillion ambaye anakautajiri wa $50 million, alimvalisha Eve pete ya uchumba December 25 mwaka jana (Christmas).
Eve sitaeve saEVE tatueVE tisaEVEEeve
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks