Picha ya Kim Kardashian yaleta gumzo kama picha za Rihanna.

kim
Rihanna ni kawaida yake kuchukua headlines kwa picha za ajabu akiwa sehemu mbalimbali na sio muda mrefu ametoka kutengenza habari kwa picha alizopita kwenye red carpet....>>>

1w
Hivi sasa ni zamu ya mke wa Kanye West ambaye na yeye amepiga picha ambazo zinamuonyesha sehemu kubwa ya kifua chake na picha hiyo kuanza kusambaa kwenye mtandao.
Kanye West na Kim walikuwa kwenye show huko Tennessee ambapo Kim Kardashian alipiga picha yenye background watu walifika kwenye hiyo show.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks